• NJIA ZA KUZUIA MAGUGU SHAMBANI


    NJIA ZA KUZUIA MAGUGU SHAMBANI
    Wakulima wengi  hua wanashindwa jinsi ya kupambana na magugu hasa kwneye mashamba makubwa sana. hiyo inapelekea wakulima kulima sana lakini mavuno wanayo pata hayaendani na jinsi walivo lima .
    kuna njia kuu tatu za kuzuia magugu shambani

    • kutumia kemikal (chemical control method)
    • kibaologia(biological control method)
    • kwa njia ya kawaida( physical control method )


                          KUTUMIA CHEMICAL
    hii ni njia kuu ambayo inatumika sana kwa watu wenye mashamba Makubwa na hii njia nitaielezea sana kwa sababu ndo njia nzuri sana kwa watu wenye maeneo makubwa na inawachanganya wakulima wengi sana hivo nitaiweke wazi

    kuna aina  mbili za viua gugu(herbicides)
    • viua gugu kabla ya kupanda(pre emergency herbicides)
    • via gugu baada ya kupanda (post emergency herbicides)

               VIUA GUGU  KABLA YA KUPANDA (PRE EMERGENCY HERBICIDES)
    hivi ni viua gugu ambavyo vinawekwa shambani ili kuua magugu ya aina yote  hvo ni kua makini sana wakati wa kutumia
    kwa sababu unapo weka shamban inaua kila jani ambalo litaonekana shambani
    mara nyingi kwa Tanzani hua tunatumia ROUND UP
         Unatakiwa uweke siku 10-14 kabla ya kuanza kutifua shamba

    na baada ya hapo masaa 48 baada ya kupanda ni muhimu sana kutumia dawa  hizi kwa mazao ya fuatayo ili kuzuia wadudu waalibifu
    mahindi- premagram
    maharage -trichlor

      VIUA GUGU BAADA YA KUPANDA (POST EMERGENCY HERBICIDES)
    Hivi ni  viuagugu ambavo vinatumika mazao ambapo yamesha kua makubwa
    mahindi- grammaxone
    maharage- amazon, sabea na bean clean


                                      NJIA YA KAWAIDA YA KUZUIA MAGUGU

    hii ni njia ambayo kila mkulima anaifaham japo kua inatumika sana lkn ni njia ngumu sana.
    na pia inachukua nguvu na mda mwingi.
    • kung'orea
    • kupalilia kwa jembe la mkono
    • kupalilia kwa trekta
    • na kupalilia kwa kutumia wanyama









    SOURCE: Tanzania na kilimo

    1 comment:

    1. Naomba kujua dawa zanazochambua magugu kwenye alizeti

      ReplyDelete