• CHANGIA MADA: JE WAFUGAJI BILA UMOJA TUNAWEZA KUBORESHA SOKO LA BIDHAA ZETU?

    CHANGIA MADA

     Wafugaji bila umoja tunaweza kuboresha soko la bidhaa zetu?





    Wapendwa wadau wetu wa ukurasa wetu  napenda kuwasalimu wote  na kuwakaribisha katika ukurasa wetu.

    Katika ukurasa  wetu wa changia mada tutakuwa tunawaletea mada kisha nyinyi mnachangia mawazo yenu, ambapo mada zingine zitakuwa na pande mbili lakini mwisho tunapata hitimisho sahihi.

    Kitu cha kuzingatia  ni kwamba mada zetu zote zina husiana na kilimo na ufugaji.

    Lengo la ukurasa wetu ni kubadilishana mawazo na kujua nani anafanya nini katika kilimo na ufugaji. Lakini  pia tunakusudia kuhamasishana  katika suala zima la kilimo na  ufugaji kwani kuna baadhi yetu wamekata tamaa ya kulima na kufuga kwa sababu mbalimbali.










    SOURCE: brandpoultryfeed

    No comments:

    Post a Comment