• KILIMO:

    KILIMO:
    Watanzania mbalimbali wanaishi katika maeneo yanayopata mvua za uhakika za Masika.- Wengi wao hufanya kilimo cha mazoea bila ya kujua mazao sahihi ya kibiashara yanayofaa kulimwa kipindi cha mvua za Masika.
    Je, ni mazao gani yanafaa zaidi kulimwa masika?

    No comments:

    Post a Comment